Ni mwezi mmoja sasa umepita hakuna kubwa ambalo lilitoke, Rose alikuwa tayari ashaanza kujifunza mafunzo ya kijini na alionekana kuwa na matokeo mazuri kwa kutumia mbinu ambayo Roma aliweza kuelekeza.
Upande wa wanawake wengine Roma aliweza kumuelekeza mmoja mmoja namna ya kufanya
‘Meditation’ ili kuweza kupata ‘Reveletion’ au ufunuo juu ya mbinu za kuvuna nishati kati ya mbingu na ardhi.
Ni Edna pekee ambaye alikuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments