Reader Settings

Kwenye watu waliokuwa na wasiwasi muda huo alikuwa ni Blandina , ni kama alikuwa akitabiri kuna jambo baya sana linakwenda kutokea hapo ndani ,alitamani amwambie Denisi aondoke lakini hakuwa na uwezo huo , lakini pia aliogopa hasira aliokuwa nayo Roma kwani ilidhihirika kwa kila mmoja.

Uzuri ni kwamba muda huu Lanlan alikuwa upande mwingine akicheza na Qiang Xi kwa kutumia Drone yake hivyo hakuona kinachoendelea …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next