Reader Settings

Roma alisimama mara baada ya Hermes kumwambia

ana uhakika gani alichomwambia alikuwa akidanganya.

“Mpaka sasa nipo kwenye mshangao , Aphrodite aliniambia ukiachana na Zeus na Athena , Poseidon ndio mwenye nguvu zaidi anaefuatia lakini nikikuangalia naona unao uwezo mkubwa kuliko wa Poseidon mathalani kwenye mbinu yako ya kuweza kumdhibiti mtu kupitia ndoto, hio ni zaidi ya kanuni za anga na nina wasiwasi kama tukipigana …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next