Roma alijikuta akiumia kumuona Edna kutoa machozi namna hio , alishukuru Lanlan alikuwa akicheza upande mwingine hivyo hakusikia hayo mazungumzo.
“Kwanini hukuniambia tokea mwanzo kama alikuwa na yeye ni mwanamke wako , unao wanawake wengi na umekuwa hata na ujasiri wa kuwakaribisha mpaka nyumbani umeshindwaje kuniambia na huyu ni wa kwako au kwasababu unao wengi sana kiasi cha kusahau mahesabu si ndio”Aliongea Edna huku …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments