MIMI NA MIMI 3
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI NA MOJA
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Nimekuja kuamshwa na kikengele cha asubuhi ndani ya chumba hiki, na ilinikera kweli maana bado usingizi ulikuwa mzito, lakini nikalazimika kuishusha miguu chini, nacho kikaacha kunipigia kelele hivyo nikajirudisha kulala tena. Ingebidi kuja …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments