Nikiwa na begi mgongoni na uso wangu umejificha ndani ya kofia ya hood yangu nyeusi - sweta ambayo mama yangu alinishonea kwa uzi kwa upendo mkubwa, niliondoka nyumbani. Nyumba pekee niliyowahi kuifahamu maishani mwangu. Ilikuwa mara ya mwisho kabisa kuiangalia. Mwezi ulikuwa na mwanga hafifu, ukijitokeza taratibu kutoka kwenye giza zito lililotanda kila sehemu kwa wakati ule. Kile kipande kidogo cha mwezi kilichong’aa hakikutosha kunionesha …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments