Alikuwa amemwona! Yule binti… yule msichana… yule mchawi!
Lakini hilo lilikuwa jambo lisilowezekana kabisa. Kwani alimwona akinyongwa kwa macho yake mwenyewe, akamshikilia alipokuwa hana uhai, akamlilia… kwa uchungu.
Na bado, kwa muda mfupi tu, angeapa kwa roho yake yote kuwa...amemuona!
Michael alikuwa ameongozana na Samuel na Kathleen hadi kituo kikuu cha reli. Walikuwa marafiki wake wa dhati, na asingekuwa rafiki wa kweli kama asingewasindikiza kuwaaga na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments