Reader Settings

Safari hii ndani ya treni ilikuwa ya kusisimua, nilijua hilo tangu treni ilipoanza kusogea, ikiacha kituo kikuu kwa kelele za chuma juu ya chuma. Nilitumia muda wangu mwingi kushona na kuziba kwa viraka mavazi yangu ya zamani, nikiwa nimevaa yale mapya ambayo nahodha alikuwa amemtuma utingo aniletee kwenye behewa langu. Nilishukuru kwa kuwa ningekuwa na nguo nzuri za kuvaa nitakapokutana na shangazi yangu Mayasa.

Lakini …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next