Reader Settings

Wakati Michael alipokuwa ameshajihakikishia kuwa hali yake haikuwa chochote zaidi ya mafua ya mpito, ghafla homa yake ilipanda kwa kasi. Akalazimika kulala kitandani katika behewa lake la treni, akijifunika hadi kichwani kwa blanketi nzito, akielea kati kati ya usingizi na kuwa macho, mara akitetemeka kwa baridi, mara akiwaka moto wa jasho. Kila alipoamka, hali yake ilikuwa mbaya zaidi kuliko mwanzo.

Daaah... Nimekauka koo,nasikia kiu …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next