Reader Settings

Michael alishusha vidole vyake polepole juu na chini ya shingo yake, akihisi ngozi laini, ya joto hafifu, kama kipande cha satini kilichopozwa na upepo.
“Siwezi kuacha kukuwaza,” alimgong’oneza. “Umenitawala. Umenitesa sana kwenye ndoto zangu.”

“Usiseme hivyo.” Lakini tayari alikuwa ameshayasema. Alilazimika. Nani angejua kama angepata nafasi nyingine tena?

“Usiniondoke tena,” akasema kwa sauti iliyotetemeka. “Niambie ukweli. Ulinusurika vipi na kile kitanzi cha mnyongaji? Ulinusurikaje mamii... tafadhali …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next