Reader Settings

Lakini Michael hakuweza kulala kwa amani. Si kwa undani ule unaomfanya asijue kinachoendelea. Kwa sababu akiwa amelala aliweza kusikia sauti yake tena na hapo ni baada ya muda mrefu wa kulegea na kuzinduka, huenda kwa masaa.
Maneno yake yaliingia kama nyimbo, kama kiitikio cha siri, kilichokuwa kikimuita kutoka ndani ya ndoto.
Alifumbua macho yake polepole - na akamwona.

Alikuwa amesimama juu ya kitanda chake.

Hakujua alikuwa hapo …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next