Sikuwahi kuhisi nguvu zikinitiririka kama usiku ule. Hapana - wala sikuwahi kuhisi aina ile ya nguvu nyingine, zilizochochea damu yangu wakati Michael akinivuta karibu, alipogusa midomo yangu kwa yake, aliponong’ona kuwa hajawahi kunisahau.
Sikuwahi kuhisi vitu hivyo kutoka kwa mwanaume yeyote. Lakini kwa Michael... Ndiyo.
Tangu tulipoangaliana pale mnara wa kunyongwa, nilijua kulikuwa na kitu kingine kati yetu. Kitu kipya. Kitu chenye nguvu. Lakini sikuwahi kujua …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments