Nilipofika katika Mji wa Shira, Koloni la Kilema Kyaro, nilinunua farasi kwa karibu nimalize sarafu zote zilizokuwa zimebaki kwenye pochi yangu- nilipata Mare(farasi kijana wa kike, mwenye zaidi ya miaka 3) mweusi mzuri mwenye macho yenye nguvu na hatua za vishindo. Mmiliki wa zizi alinisihi nichukue farasi mpole zaidi, lakini nilisisitiza kumchukua huyu. Tangu macho yangu yalipokutana na ya mare huyo, na alipoyatikisa manyoya yake …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments