FOR YOU 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Uhalifu, Mauaji, Visasi, Vita, Mambo yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA TISA
★★★★★★★★★★★★
Luteni Michael na wenzake walirejea jijini Dar es Salaam mida ya usiku kwa kutumia helicopter, kama tu walivyokwenda kwa usafiri huo kule Geita. Waliwakuta wengine tayari wakiwa jengoni, nao wakawafahamisha kwamba baada ya kufanya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments