Reader Settings

FOR YOU 2

A Story by Elton Tonny

Familia, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Uhalifu, Mauaji, Visasi, Vita, Mambo yasiyotazamiwa

R-rated 18+

Enjoy!


★★★★★★★★★★★★★★★★★

SEHEMU YA KUMI NA MBILI

★★★★★★★★★★★★★★★★★


"Hey, kama umemaliza, nakuomba utupishe," Luteni Michael akamwambia Lexi.

"S..sawa..." Lexi akajibu.

"Nitakutafuta baadaye Lexi, sawa?" Nora akasema.

"Haya."

Lexi akajibu na kuanza kuondoka. Wasiwasi ulikuwa umemwingia na wazo moja tu likawa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next