Michael alifanya kazi kama punda, akijitumbukiza kabisa katika kazi za mikono. Na si kwa ajili ya kuwasaidia marafiki zake tu, japokuwa alikuwa akijiambia hivyo. Alikuwa akijaribu kujisahaulisha. Kumsahau yeye na mahaba mafupi yaliyokaribia kumpa wazimu pindi alipokuwa mgonjwa ndani ya ile treni.
Lakini haijalishi alifanya kazi kwa bidii kiasi gani, bado aliteswa na kumbukumbu zake. Macho yake yenye mwangaza mweusi, yaliyojaa fumbo na ahadi. Midomo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments