Wachungaji walikuwa wakioa na kulea familia. Hivyo, matamanio ya mwili hayakupaswa kumzuia kuhudumu.
Labda angejaribu. Labda angeweza kujaza pengo lililokuwa ndani ya moyo wake. Na labda, kwa kufanya hivyo, angemtoa mwanamke yule aliyekuwa akiishi milele ndani ya roho yake.
Elias Stanton alionekana kuwa mtu aliyekuwa na masuala mazito akilini mwake alipokuwa ameketi mbele ya bilauri ya kinywaji mezani, akimkabili Michael.
Alimpa Michael mkono lakini alionekana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments