Reader Settings

“Ni lazima uje kwenye ibada leo, Yolanda. Watu watashangaa sana kama hutoenda. Kasisi mpya amekuja, atatambulishwa leo!”

Shangazi Mayasa alikuwa bize kuandaa sketi na blauzi mpya niliomshonea, kisha akajizuia mwenyewe.

“Ila mimi,” alisema.

“Katika umri wangu, usingedhani ni dhambi ya kupendeza ndio inayoweza kunijaribu.”

“Kutamani kuonekana vizuri unapomkaribisha mgeni siyo vibaya, Shangazi Mayasa,” nilimwambia kwa nikicheka,

“Ni heshima ya kawaida tu.”

Ilikuwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next