Reader Settings

Mkono wake ulinifikia, ukigusa shavu langu kwa upole. Nilitamani kuushika na kuubusu kwenye kiganja chake. Lakini nilibaki kimya, nilifumba macho huku hisia kutoka kwenye mguso wake zikinipenya hadi ndani kabisa ya nafsi. Nilijikuta dhaifu, nikisukumwa na hisia ya faraja kwamba tena, baada ya muda mrefu, nilikuwa nikipata mguso wa mwanaume huyu - mguso nilioutamani sana katika ndoto zangu nyingi. Nilijikuta dhaifu pia kwa maumivu yaliyofufuka …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next