Michael alimwangalia Elias kwa makini huku akitengeneza uongo wake kichwani. Ilimpiga ghafla kwamba kwa maisha yake yote alikuwa mtu wa ukweli - aliyependa kusema yaliyo ya haki na ukweli. Lakini kwa ajili ya Yolanda, aliweza kusema uongo bila hata kusita. Bila hata chembe ya mashaka. Alijua, kwa undani kabisa, kwamba alikuwa tayari kufanya mengi zaidi kwa ajili yake. Iwapo itahitajika - angeweza hata kufa kwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments