Kwa muda mfupi tu, alipokuwa akitembea kwenye barabara iliyopita ukingo wa kusini mwa rasi, juu ya bahari, alisimama na kutafakari ukakasi wa kile alichokuwa anakifanya. Yolanda Mekkanan alikuwa amehukumiwa kwa uchawi na kuhukumiwa kifo. Alikuwa amemuona akifa kwa macho yake mwenyewe - na sasa akamkuta akiwa hai na mwenye afya, tena akituhumiwa kwa uchawi. Na bado, yeye, mwanaume wa Mungu, alikuwa njiani akimpelekea taarifa za …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments