Hali hio ilimfanya Michael kuona kwamba kila kiini cha mwili wake kilikuwa kimeamka, kimechochewa na mtazamo wake, na sasa kikichuruzika kwa msisimko. Alijisikia kama yeye ndiye aliyekuwa uchi, na yeye, Yolanda, ndiye aliyekuwa akimtazama bila aibu yoyote.
Na alipokuwa bado amesimama pale, amezama katika kile alichokiona, alisikia sauti ikimuita Yolanda kutoka chumba kingine. Yolanda akageuza kichwa chake kuelekea sauti hiyo, kisha akatazama tena dirishani - …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments