Mtazamo wa Hamza dhidi ya watu wa Binamu haukuwa na haja hata ya kuelezea mengi.
Ndio maana alimtaka Regina kushughulika na hilo yeye mwenyewe kwa mazingatio yake.
Muda ule, Mzee Dosal aliweza kuona muonekano wa Hamza ulikuwa wa kikauzu mno. Na palepale alionekana kuelewa jambo fulani, kisha akaongea:
“Kwanza niseme samahani kwa kuja ghafla usiku usiku nyumbani hapa na kuwasumbua wakati mkiwa mmechoka na safari,” aliongea.
…Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments