FOR YOU 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Uhalifu, Mauaji, Visasi, Vita, Mambo yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI NA SITA
★★★★★★★★★★★★★★★★
Nora akawa amemaliza kuongea na aliyempigia na kurudi usawa wa Lexi. Alikuwa anataka amsemeshe jambo fulani, lakini akasitisha baada ya kuona Lexi alikuwa anadondosha chozi. Akamwangalia na Valentina, ambaye alikuwa anadondosha machozi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments