Reader Settings

Chanzo ni Yeye
Sehemu ya 18
Na. Machokulenga TZ
0623238283

Kulikuwa na ukimya mzito uliotanda kwenye chumba kikuu cha uendeshaji wa mfumo wa Chanzo. Ayubu alirudi katika makazi yake ya muda, akiwa na moyo mzito na akili iliyochoka kwa mawazo mazito. Mapambano na toleo lake lingine – Ayubu-002 – lilikuwa limemwacha na maswali mengi zaidi kuliko majibu.

Hata hivyo, katika hali ya kushangaza, alihisi kuna nguvu mpya ndani …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next