Reader Settings

Chanzo ni Yeye

Sehemu ya 19

Na. Machokulenga TZ

0623238283

Giza lilikuwa zito katika akili ya Ayubu. Ndani ya mfumo wa NDOTO YA KWANZA, kila kilichoonekana, kilisikika, hata kilichohisiwa, kilikuwa ni bandia lakini halisi kupita maelezo. Katika ulimwengu huo, Ayubu aliamka akiwa katika jiji la ajabu lisilojulikana kwenye ramani ya kawaida. Majengo yalikuwa yanang'ara, anga lilikuwa rangi ya zambarau, na watu waliokuwa wakitembea walikuwa na …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next