FOR YOU 3
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Uhalifu, Mauaji, Visasi, Vita, Mambo yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA TANO
★★★★★★★★★★★
Muda mfupi baadaye, Torres alimjulisha Kendrick Jabari kuhusiana na mambo yaliyokuwa yametokea huko "chini" baada ya kumfikisha mdogo wake na Lexi. Kendrick akamwambia angehitaji kuja kushughulika na Kevin yeye mwenyewe kwa kitendo alichokifanya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments