FOR YOU 3
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Uhalifu, Mauaji, Visasi, Vita, Mambo yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA TISA
★★★★★★★★★★★
"S... Simi... Simi...." Lexi akawa anasema.
"Alexandra... njoo... twende... twende huku..." Isiminzile akamwambia.
Akamsaidia Lexi kusimama vizuri, kisha akaanza kuongozana naye kuelekea upande mwingine wa barabara na kuvuka majengo kadhaa mpaka walipofikia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments