FOR YOU 3
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Uhalifu, Mauaji, Visasi, Vita, Mambo yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI NA NANE
★★★★★★★★★★★★★★★★
Nora akasimama, na Lexi pia, wakiwa wanamtazama Isiminzile kimaswali sana, naye jamaa akasogea mpaka usawa wao akionyesha sura yenye huzuni kwa kiasi fulani.
"Unafanya nini we' kaka? Hujui ni tabia mbaya kuingia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments