Haikuwachukua muda mrefu sana mpaka wakakanyaga katika fukwe za kisiwa.
Hamza, mwanzoni, alijua kwamba ufukweni hapo kutakuwa na walinzi, lakini hapakuonekana mlinzi yeyote, na ni kama eneo hilo halikuwa na harakati zozote za kibinadamu kwa muda mrefu.
Wote walikuwa wameloa, lakini hilo halikuwazuia kuendelea kwenda mbele.
“Tutaanza kutembea kutoka hapa. Tunapaswa kufuata ramani, vinginevyo tutapoteza uelekeo na kuwashitua maadui,” aliongea Hamza.
Mazingira ya kisiwa yalionekana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments