Reader Settings

“Usitake tupoteze muda kwenye jambo ambalo mimi na wewe tunaujua ukweli wake, haina ulazima nikupe taarifa zako kuanzia uliko zaliwa mpaka uliko patia mafunzo yako, haina sababu ya msingi ya mimi kukutajia vijana ambao wapo nyuma yako wale watatu ndipo uwe na uhakika kwamba nina taarifa zako zote. Niambie kilicho kuleta kisha uende maana nina mambo mengi ya kufanya” Alimjibu mwanamke huyo akiwa amemkazia uso …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next