Reader Settings

“Hii siku ya leo nitaiweka akilini JACK, dharau yote ambayo umeionyesha mbele yangu nitailipa na nakuahidi utaijutia hii nafasi ambayo umeipoteza” Aaliyah aliongea kwa hasira akiwa anaondoka na kuhitaji kutoka lakini alisimama baada ya mwanasheria huyo kumuita na kunyanyuka kisha akamsogelea mwanamke huyo na kumkumbatia kwa nyuma bila ridhaa yake kisha akamnong’oneza kwenye sikio lake.

“Iangalie hiyo mihemko yako bibie kwa sababu unatakiwa kuipeleka …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next