Reader Settings

Lilikuwa pigo zito kwenye moyo wake, moyo wake ulikuwa unagala gala kwa maumivu makali huku lawama zote akiwapa wanadamu ambao walikuwa wanamzunguka ila angefanya nini? Alifuga kisasi kwenye moyo wake, alichukizwa na jambo hilo isivyo kawaida ila baba yake ndiye pekee ambaye alibaki naye. Baada ya msiba waliamua kuhama eneo hilo na kwenda kuyaanza maisha yao Kiwira ambako walianza upya na kila kitu na baba …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next