Reader Settings

UPANGA

Hali ilikuwa shwari kutokana na eneo hilo kuupokea vyema upepo wa bahari. Dunia ilikuwa inashangilia kwa hali kuwa safi, anga liliwazoemea wale wote ambao maisha yalikuwa yakiwachapa bakora ndani ya jiji hili la mzizima hali ambayo ilikuwa tofauti kwenye nyumba moja ndani ya eneo la Upanga.

Ilionekana familia yenye furaha tele, baba mama na watoto wawili wa kike. Baba alikuwa mtanzania mwenye asili …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next