“Mimi hakuna ninalo lijua zaidi ndiyo nasikia leo mume wangu akiambiwa kwamba ni muuaji naomba msaada wako tafadhali hawa watu ambao wamehusika na hili waweze kupatikana” mwanasheria huyo alimwangalia sana mwanamke huyo mtu mzima, hakumjibu zaidi ya kumuuliza swali
“Naweza kuipata sura ya mtu ambaye alikuja hapa kufanya mauaji?” simu ilitolewa na mtoto mmoja wa dokta, simu hiyo ilikuwa imeunganishwa na mfumo wa ulinzi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments