“Sikutegemea mwanasheria kama wewe ungekuwa muuaji katili namna hii, hii inaonekana sio mara yako ya kwanza kufanya haya kwa sababu mtu ambaye anaua kwa mara ya kwanza hawezi kuwa mkatili na kuua wenzake kama kuku namna hii. Wewe ni nani?” lilikuwa swali kutoka kwa mwanamke huyo ambaye siku kadhaa zilizokuwa zimepita alitekwa ndani ya uwanja wa ndege.
“Nicola Aidan, huo muda ambao umeruhusu nigeuke …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments