Mshauri mkuu wa raisi Bacia Ojok alikuwa anasimamia kila kitu hapo lakini hata IGP kwa Uganda Okumu Odinga naye alikuwa amealikwa kwa sababu mara ya kwanza alishiriki kwenye mawasiliano ya mwanzo hivyo kuna taarifa kutoka kwake zingesaidia kwenye huo uchunguzi wao, walikuwa wameungana na maafisa wengine wa usalama wa ngazi za juu za shirika hilo. Mtu ambaye alikuwa amezungukwa alikuwa ni Odong, yeye ndiye ambaye …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments