Reader Settings

“Yule sio mtu baki, ni kijana wangu makini kuliko unavyo fikiria wewe. Hizo video ndizo ambazo zimerahisisha zoezi hilo kwenda haraka kabla ya mambo yangu kuharibika kwa huyo kijana ambaye mlikuwa mnamshikilia. Huwa nina namna yangu ya ufanyaji wa mambo yangu hususani kwa watu kama wewe, sijui saa wala dakika ambayo utaamua kunigeuka hivyo hizo video ni ulinzi wako mwenyewe kuhakikisha unanitii na kunisikiliza. Siwezi …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next