Reader Settings

Gari yake aliipaki kwa muda umbali kidogo yalipo makaburi ya familia ya mzee huyo likiwa limezimwa. Kulikuwa na minazi mingi kiasi, alipo ona kiza kimezidi, alishuka na kujongea taratibu kuelekea yalipo yale makaburi akiwa na imani kwamba huenda kuna jambo angeweza kuliona ama kupata kitu chochote ambacho kingemsaidia kwenye uchunguzi wake, kesi hiyo alikuwa akiisimamia yeye mwenyewe kwa mkono wake bila kumshirikisha kijana wake yeyote …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next