“Sasa kwa hilo hata nikikuua wewe unahisi unaweza ukanilaumu bwana kamanda? Ni kweli mimi sikufa, mimi nipo hai kabisa ndiyo maana mpaka sasa unaniona hapa mbele yako hivyo kwa mtu yeyote ambaye atatambua uwepo wangu basi ni lazima nimuue kuilinda siri hii”
“Unahisi utaua watu wangapi?”
“Hata mtaa mzima ikibidi kwani ikigundulika siri imevuja basi mimi ndo natakiwa kufa na familia yangu” alihitimisha kauli …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments