Reader Settings

“Wilson Ndamaru anatakiwa kufa kwa mkono wako na baada ya kukamilisha zoezi hilo hakikisha unapiga picha” jina ambalo alilisikia wakati huo lilimshutua kiasi kwamba alianza kuhema kwa shida. Mtu ambaye alitajiwa jina lake alikuwa ni bondia namba moja ndani ya taifa la Tanzania, bondia ambaye alipendwa na watu kwa sababu alikuwa mtu wa watu lakini alikuwa akisaidia watu wengi. Mbali na hilo mwanaume huyo alikuwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next