Alimkadiria mwanaume yule huku akijiuliza kama alikuwa amepitiwa na usingizi au alimuweka yeye kwenye mtego.
“Umechelewa kurudi, ilibakia kidogo niweze kuwaua hao vijana wako kisha niondoke” sauti yale ilipenya vizuri kwenye masikio yake, ilikuwa ni sauti yenye ujazo wa kutosha na ni wakati huo ambao mwanaume huyo aliuinua uso wake. Yes, alikuwa ni yule ambaye alimsubiri kwa muda mrefu bila mafanikio ya kuweza kutokea …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments