Reader Settings

“Mama yako inasemekana kwamba ni moja kati ya watu wenye nafasi za juu ndani ya jamii ya LUNATIC SOCIETY kwa miaka mingi kwa sababu ameifanya kazi yao kwa uaminifu mkubwa. Huyu mwanamke alitengenezwa akiwa chuo na umoja huo ili adili na baba yako mzazi tu hivyo alilengeshwa kwa baba yako ili aingie kwenye mtego wao na kweli baba yako mzazi alikuja kumpenda sana mwanamke huyo …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next