“Bado sijajua ila kuna taarifa nyingine kubwa ukiachana na hiyo”
“Ipi?”
“Novack Nyangasa inadaiwa mahali alipo panajulikana ila sasa kumpata mtu wa kukupeleka huko ndipo sijui anaweza kuwa nani”
“Unamaanisha yule ambaye alimuua kaka yake na kumuoa Irina?”
“Ndiyo”
“Hivyo huyo akipatikana anaweza kuwa na taarifa ya wapi alipo Irina Espanovich?”
“Haswaaa kwa sababu inasemekana kwamba walibahatika kupata watoto wawili ambao nao bila shaka …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments