Reader Settings

“Amekubali kutusaidia kwa sharti moja” Aaliyah alitamka kauli hiyo kabla wenzake hawajakurupuka kwenye kumtafuta mtu huyo

“Tunakusikiliza”

“Amekubali kutusaidia kujua tunacho kihitaji na huenda kukifikia kama tukifanya kazi chini yake. Ukiacha hilo amesisitiza kwamba serikali inajaribu kuficha uchafu mwingi kuanzia sakata la kupotea kwa mwanasayansi Christian lakini hata wale makomando kumi ambao waliuawa na serikali moja kwa moja lakini sio hao tu watu wengine …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next