Reader Settings

Aliinua simu yake kuelekea kwa mtu ambaye aliamini kwamba anaweza kumjibu baadhi ya maswali yake, Saimon. Huyu alikuwa ni miongoni mwa vijana wa kuaminika kwa madam Kate, alihitaji kukutana na mwanaume huyu kwani kuna maswali ya msingi alihitaji kumuuliza.

“Saimoni uko wapi?”

“Naongea na nani?”

“Nicola”

“Umeipata wapi namba yangu?”

“Tunafanya kazi pamoja, acha maswali ya kijinga”

“Unataka nini?”

“Uko wapi?”

“Tutaongea kesho”

“Ni …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next