“Lazima kutakuwa na uthibitisho wa hizi habari, nahitaji kuona huo uthibitisho wa taarifa hizi” Saimon alibaki anamwangalia mwanamke huyo kwa mashaka.
“Kama ukinielekeza kwa mtu ambaye anaweza kunipa uthibitisho basi mimi nitakuamini wewe moja kwa moja na sitauliza tena hizi habari juu yenu ila kama utashindwa basi sitakuwa na imani na nyinyi tena na huenda hata mzigo wenu msiupate kwa sababu kunidanganya inaweza ikapelekea …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments