SURA YA SITA
Kutoka gazeti la THE TRUTH habari zilisambaa tangu asubuhi ya mapema kwamba mwanasheria JACK THE LAWYER usiku wa saa tano angeongea na wananchi, ilikuwa ni siku ambayo hakuna mtu alitakiwa kuikosa taarifa yake hiyo kutokana na umuhimu mkubwa ambao ilikuwa nayo. Hiyo ndiyo ilikuwa habari ya siku ambayo kila mtu alibaki anaiongelea kila sehemu, watu wengi walikuwa na hamu kubwa ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments