Reader Settings

Gari hiyo ilidondoka vibaya na kulipuka hali ambayo ilipelekea gari zingine za nyuma kusimama ghafla na kusababisha ajali mbaya. Walishuka wanaume kutoka kwenye hayo magari lakini kila ambaye alikuwa anashuka humo alikutanishwa na risasi kutoka kwa watu ambao walianza kulizingira eneo hilo wakiwa wamezifunika nyuso zao kwa vitambaa vyeusi. Wanaume hao walizichakaza gari hizo vibaya kwa uzito wa mashine ambazo walikuwa nazo kwenye mikono yao. …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next