Reader Settings

Alidondokea mbali lakini hakuwa mnyonge, alijiviringisha kwa sarakasi na kusimama kwenye mkono wake akiwa ameshika visu viwili ambavyo vilikuwa na damu ya kutosha, kiunoni kwake alipachika bastola mbili. Alikuja akiwa anavizungusha visu vyake kuelekea kwa Edison kwa ghadhabu kali kwani alihisi kama watu hao wanamfanyia masihara kwa sababu mmoja alikuwa amekematwa muda mfupi lakini hapo mbele yake alikuwa anamuona mwingine tena. Ujio wake ulikuwa wa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next